NUKUUU KUTOKA KWA ELON MUSK KUUSU KUJARIBU
“Kama kitu ni muhimu sana kwako, hata kama nafasi ya kufanikiwa ni ndogo sana, bado unapaswa kukijaribu.”
— Elon Musk, Mbunifu wa Teknolojia, Mjasiriamali na Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla & SpaceX
📌 Ujumbe: Usiruhusu hofu ya kushindwa ikakuzuia kujaribu. Mambo makubwa hayafanikishwi kwa uhakika bali kwa ujasiri. Kama jambo lina maana ya kweli kwako — lifuate. Kushindwa ni sehemu ya safari, lakini kutojaribu ni kushindwa kabla ya kuanza.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi #ElonMusk #JitihadaNaNdoto