NUKUU KUTOKAKWA STEVE JOBS KUUSU MAISHA
βWakati mwingine, maisha yanakugonga kwa tofali kichwani β lakini usipoteze imani.β
β Steve Jobs, Mwanzilishi Mwenza wa Apple Inc. na Mvumbuzi wa Teknolojia Aliyeleta Mapinduzi Katika Dunia ya Kidigitali
π Ujumbe: Maisha hayako sawa kila siku. Kuna nyakati za maumivu, kushindwa, na kukataliwa β lakini hizo si mwisho wa safari. Imani ni taa inayokuongoza hata wakati hakuna mwanga mbele. Usikate tamaa, kwa sababu hata tofali linaweza kuwa msingi wa kitu kikubwa kinachojengwa kwako.
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi #SteveJobs #ImaniNaMaisha