NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Professor Jay
(Msanii Mkongwe wa Hip Hop na Mbunge wa Zamani, Tanzania)
“Wanaokubeza leo watakupongeza kesho. Endelea kupanda hata kama huoni mavuno leo.”
📌 Ujumbe: Maisha ni safari ya mbegu na mavuno. Sio kila juhudi huzaa matunda papo kwa hapo, lakini kwa uvumilivu na kuamini mchakato, matokeo mazuri huja. Usikate tamaa kwa sababu ya kelele za leo — kesho watakuja kukupongeza kwa ulichosimamia.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi