NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Julius K. Nyerere
(Rais wa Kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa)
“Uhuru na maendeleo ni vitu viwili visivyotenganishwa — kama pande mbili za sarafu.”
📌 Ujumbe: Uhuru wa kweli hauwezi kuwepo bila maendeleo, na maendeleo hayawezi kudumu bila uhuru. Ni wajibu wetu kama jamii kuhakikisha tunajenga nchi yenye uhuru wa kiakili, kisiasa na kiuchumi ili maendeleo yawe halisi na ya watu wote.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi