NUKUU KUTOKA KWA J.K ROWLING KUUSU TABIA YA MTU
βUkitaka kujua tabia ya mtu, angalia matendo anayowatendea wasio na nguvu β si wale walio juu kama yeye.β
β J.K. Rowling, Mwandishi Mashuhuri wa Riwaya na Mwandishi wa Mfululizo wa Harry Potter
π Ujumbe: Tabia ya kweli haipimwi kwa maneno wala hadhi mtu aliyonayo mbele ya wakubwa, bali kwa namna anavyowatendea wale wasioweza kumrudishia chochote. Mtu mwenye utu wa kweli huonyesha heshima na huruma hata kwa wale walio katika hali ya chini kabisa. Hapo ndipo utu hujulikana.
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi #JKRowling #UtuNaTabia