AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA J.K ROWLING KUUSU MWANAUME

Nukuu kutoka kwa J.K. Rowling

“Ukitaka kujua tabia ya mwanaume, tazama jinsi anavyoishi na watoto — si watu wa rika lake.”

📌 Ujumbe: Tabia halisi ya mtu haionekani kwenye mazungumzo yake na watu wakubwa bali jinsi anavyotendea wale wasio na nguvu au hadhi kama yeye. Heshima ya kweli huanzia kwa wanyonge.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi