NUKUU KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ KUUSU KUSONGA MBELE
βWaliokucheka ulipoanza ndio watakaojitokeza mbele siku ya sherehe. Wapuuze na endelea kusukuma mbele.β
β Diamond Platnumz, Msanii wa Muziki wa Bongo Flava na Mjasiriamali Maarufu wa Afrika
π Ujumbe: Maisha yanahitaji uvumilivu. Kamwe usiruhusu dhihaka au maneno ya watu yakukatishe tamaa. Endelea kusukuma mbele β siku ya ushindi wako, wale waliokudharau ndio wa kwanza kupiga makofi. Endelea na moyo wa chuma!
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi