E NEWS

MSIBA MZITO NO FEAR MUSIC DJ KIZA MIDUNDO AFARIKI DUNIA

MSIBA MZITO NO FEAR MUSIC DJ KIZA MIDUNDO AFARIKI DUNIA

TAARIFA YA MSIBA KWA FAMILIA NA MASHABIKI

Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwataarifu kuwa tumepoteza ndugu yetu mpendwa, DJ wa rasmi wa Achimedy Mauwezo, anayefahamika kwa jina la DJ Kiza Midundo.

Marehemu alikuwa sehemu ya familia ya NO FEAR Music, Shine Music, pamoja na Mkuki na Ngao. Alikuwa zaidi ya DJ — alikuwa msanii, rafiki na mshauri kwa wengi wetu.

🕊️ Pumzika kwa amani DJ Kiza Midundo.

Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba na mipango ya mazishi, tafadhali wasiliana na:

Namba yangu: 0612 598649
Kaka wa marehemu – DJ Abuu Stone Maker: 0683 569632

Tumuombee apumzike kwa amani na tuendelee kumuenzi kupitia kazi zake na alama aliyoacha katika muziki.

#RIPKizaMidundo #PumzikaKwaAmani #FamiliaYaSingeli #NoFearMusic #MkukiNaNgao #ShineMusic