AUDIO NUKUU

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA ROBERT KUUSU DUNIA

Leo tunakuletea nukuu fupi lakini yenye uzito mkubwa kutoka kwa Robert Frost:

β€œKwa maneno matatu naweza kueleza kila kitu nilichojifunza kuhusu maisha β€” Yana kwenda mbele.”

Hii nukuu inatufundisha kuwa haijalishi unapitia changamoto gani leo, maisha hayawezi kusimama. Dunia itaendelea kusonga mbele, na wewe pia unapaswa kusimama, kuvumilia, na kuendelea mbele. Hakuna hali ya kudumu β€” kila kitu kinabadilika.

πŸ” Usikate tamaa. Tembea mbele, hata kwa hatua ndogo.

πŸ• Usikose β€˜Nukuu ya Leo’ kila siku asubuhi saa 1:00 kamili hapa IK MZIKI.
Kila siku tunakuletea maneno ya hekima yatakayokuongoza, kukutia moyo na kukuinua.

#NukuuYaLeo #RobertFrost #MaishaYanaendelea #IKMZIKI #HamasaYaAsubuhi #MotishaYaKilaSiku