NUKUU AUDIO

NUKUU YA LEO KUUSU MAFANIKIO KUTOKA KWA ALIKIBA

Nukuu ya Mafanikio kwa Alikiba

Leo tunakuletea ujumbe wa hekima kutoka kwa msanii maarufu Alikiba:

“Ukubwa wa msanii haupimwi kwa kelele, bali kwa heshima anayoijenga kila siku.”

Hii nukuu inatufundisha kuwa mafanikio ya kweli hayatokani na makelele au kujionyesha kupita kiasi, bali na tabia, nidhamu, na heshima tunayojijengea kwa muda. Kila hatua ya busara unayochukua leo, inaongeza thamani kwenye jina lako kesho.

Kama Alikiba alivyosema, kuwa na sauti ya utulivu yenye matendo yenye heshima ndiyo alama ya ukuu wa kweli.

Usikose ‘Nukuu ya Leo’ kila siku asubuhi saa 1:00 kamili hapa IK MZIKI.
Tunakuletea maneno ya hekima na motisha yatakayokusaidia kuanza siku yako kwa nguvu na maono mapya.

πŸ“² JiungeΒ Nasi Kila PlatformπŸ‘‡

πŸ”Ή Telegram Channel – Bonyeza Hapa
πŸ”Ή WhatsApp Group – Bonyeza Hapa
πŸ”Ή WhatsApp Channel – Bonyeza Hapa
πŸ”Ή YouTube IK MZIKI TV – Bonyeza Hapa
πŸ”Ή YouTube IK MZIKI – Bonyeza Hapa
πŸ”Ή TikTok – Bonyeza Hapa
πŸ”Ή Facebook Page – Bonyeza Hapa

 

#NukuuYaLeo #HamasaYaAsubuhi #Alikiba #Heshima #KipindiChaAsubuhi #IKMZIKI #ManenoYaBusara