NUKUU AUDIO

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA STEVE JOBS KUUSU MUDA

Nukuu kuusu Muda katika maisha kutoka kwa Steve Jobs

Leo tunakuletea maneno ya busara kutoka kwa Steve Jobs, mwanzilishi wa Apple:

“Muda wako ni mdogo, usiupoteze kwa kuishi maisha ya mtu mwingine.”

Hii nukuu ni ukumbusho wa thamani ya muda tulio nao. Kila siku unayoishi kwa kujaribu kufurahisha wengine au kuigiza maisha yasiyo yako, ni siku unayopoteza nafasi ya kuwa wewe wa kweli. Kuishi kwa kusikiliza sauti yako ya ndani ni zawadi ya juu kabisa unayoweza kujipa.

Jiamini. Fuata njia yako. Heshimu muda wako.

πŸ• Usikose β€˜Nukuu ya Leo’ kila siku asubuhi saa 1:00 kamili hapa IK MZIKI.
Tunakuamsha na hekima, hamasa, na nguvu mpya kila siku.

#NukuuYaLeo #HamasaYaAsubuhi #SteveJobs #IKMZIKI #MaishaYako #MotishaYaKilaSiku #UjumbeWaLeo