Balaa Mc Kazaliwa Leo !!! Balaa MC ni mmoja wa wasanii waliopandisha hadhi ya muziki wa Singeli kwa kasi ya kipekee, akileta ladha mpya, mashairi makali na burudani isiyo na kifani. Ameendelea kuwasha moto kwenye stage mbalimbali na kuchangamsha mashabiki wake kwa kazi za ubunifu na kali kila mwaka.
RELATED : Balaa Mc – Amepiga Nani | Download
Kwa niaba ya familia ya @ikmziki, tunampongeza kwa siku yake hii maalum. Tunamtakia maisha marefu, afya njema, na mafanikio makubwa zaidi katika sanaa yake na maisha binafsi.
Hongera sana Balaa MC! Singeli inaendelea kuwaka kwa sababu yako! 🔥🎂
Endelea kutufuatilia kwa habari zote moto za mastaa wa Singeli na burudani ndani ya Bongo.
#HappyBirthday #BalaaMC #Singeli #IKMZIKI #BurudaniBilaKikomo