Leo ni siku ya kipekee sana kwa mmoja wa nguli wa muziki wetu – @NayWaMitego!
Tunapenda kumtakia heri na baraka tele katika siku yake ya kuzaliwa.
Nay wa Mitego ameendelea kuwa sauti ya jamii kupitia muziki wake wenye ujumbe mzito na ushawishi mkubwa.
Kwa niaba ya timu nzima ya IK MZIKI, tunampongeza kwa mafanikio aliyoyapata hadi sasa na tunamtakia maisha marefu, afya njema, na mafanikio zaidi katika kila hatua ya maisha yake binafsi na ya kazi.
RELATED : Nay Wa Mitego – Nyie Ni Nani | Download
Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa kama hizi na nyingine nyingi kuhusu mastaa na burudani ndani ya Bongo na Afrika Mashariki.
Hongera sana Nay wa Mitego! 🎂💥
#HappyBirthday #NayWaMitego #IKMZIKI #BurudaniBilaKikomo