E NEWS AUDIO

ANTI VAIRAS NA JAY COMBAT NDANI YA TRACK MOJA

ANTI VAIRAS NA JAY COMBAT NDANI YA TRACK MOJA

Baada ya ukimya wa muda mrefu, Anti Vairas amerudi kwa kishindo kwenye game ya muziki! Tayari ameachia ngoma kali kama Shubiri, Rudisha, na Utauponza – sasa anakuja tena kwa mdundo mpya akiwa na Jay Combat, moja ya majina yanayovuma kwa kasi kwenye Singeli.

Ushirikiano huu unatazamwa kama mchanganyiko wa nguvu mbili za mitaani – flow kali, sauti ya uhalisia na mtetemo wa Singeli halisi! Wengi wanasema hii collabo inaweza kuwa baba mkubwa wa mwaka.

Je, unadhani ngoma hii mpya itatikisa vipi mtaa wako?

🛑 Usikose updates zote, audio ya kwanza, na matukio ya nyuma ya pazia hapa IK MZIKI. Tunakuletea kila kitu exclusive kabla ya popote!

🗣️ Toa maoni yako hapa chini – unamkubali zaidi nani kwenye hii track?

#IKMZIKI #Singeli #AntiVairas #JayCombat #HabariZaMuziki #TanzaniaMusic #NewBongoHits #ExclusiveNews