E NEWS AUDIO

LEO KAZALIWA MSANII NGOMA NAGWA

Tunapenda kumtakia heri na baraka tele Msanii wetu pendwa Ngoma Nagwa, muimbaji na muigizaji mahiri anayezidi kung’ara katika sanaa ya Tanzania. Kama mashabiki, tunajivunia kazi zake na tunamtakia mafanikio zaidi katika kila hatua ya maisha na taaluma yake.

Heri ya kuzaliwa Ngoma Nagwa!

#NgomaNagwa #HappyBirthday #SanaaYaBongo