E NEWS AUDIO

HERI YA KUZALIWA MSANII OMMY LAZO

Heri ya Kuzaliwa Ommy Lazo! Timu nzima ya IK MZIKI inakutakia mafanikio na furaha tele katika mwaka huu mpya. Uendelee kung’ara na muziki wako wa Singeli na kufikia vilele vya mafanikio!