Get New DJ Mixes
E NEWS AUDIO

TAKITO KUACHIA HIT YA MWAKA LEO

BALAA ZITO ! Msanii wa Singeli Nchini Tanzania Maarufu Kama Takito Africa Ambaye Amekuwa Akifanya Poa Sana Katika Gemu la Muziki wa Singeli Leo Usiku Anajiandaa Kuachia Track Mpya Ambayo Inakuja Kufanya Makubwa.

Ngoma Hii ya Takito si Kuikosa Kabisa Kuiskiliza Maskioni Mwako,Sababu Sio Ngoma Tu ni Hit ya Uwakika,Hakika ni Baalaa Zito Ngoma Inatoka Leo Usiku na Utaipata Hapa Hapa Ik Mziki,KAA TAYARI.