Get New DJ Mixes
E NEWS AUDIO

STIZO KUACHIA HIT SONG LEO

HILI NI BALAA ZITO ! Msanii wa Singeli Nchini Maarufu Kama Stizo Anajiandaa Kuachia Ngoma Yake Mpya Usiku wa Leo Ambayo Amemshirikisha Mmoja wa Wasanii Wakubwa Nchini Katika Muziki wa Singeli.

Track Hii Inatarajiwa Kuwa Gumzo Mtaani Kutokana na Na Maandalizi Yake na Ilivopokewa Baazi ya Vionjo vyake Ukiwa Kama Mdau na Shabiki wa Muziki Usiache Kufuatilia Ngoma Naamini Utaennjoy.