Get New DJ Mixes
AUDIO

Pakua Amapiano Mpya inayoshirikisha Marioo, Gnako Ndani ya Mdundo

 Pakua  Amapiano Mpya inayoshirikisha Marioo, Gnako Ndani ya Mdundo

Haijalishi uko club, nyumbani au ume-chill na marafiki zako, hakikisha unasikiliza au kupakua mix hii kali ambayo ina ngoma za Amapiano.

Kwenye mix hii utakutana na sauti ya Jay Melody kwenye “Mapozi”, sauti ya Marioo na Tayla kwenye “Amawele” pamoja na chemistry poa baina ya Diamond na G Nako kwenye “Komando”. Kama unapenda ku-vibe na kufurahi mix hii ni ya kwako 💃🏽🕺🏽

Download ‘Amapiano Latest Vibe Mix’ hapa: https://mdundo.com/song/2924970