Get New DJ Mixes
AUDIO E NEWS

EP MPYA YA MCHINA MWEUSI NI BALAA ZITO (FROM ZERO TO HERO)

Supastaa Kutoka Kiwanda cha Muziki wa Singeli kutoka Nchini Tanzania Anayefahamika Kama Mchina Mweusi Ameweka Wazi Yupi Mbioni Kuachia EP Yake Mpya Ambayo Imekamilika Kwa AAsilimia Kubwa ,Amabyo Inatarajiwa Kuwa na Kishindo Kikubwa.

RELATED : EP | Mchina Mweusi – From Zero 2 Hero

Mchina Mweusi Ameiambia IK MZIKI,Kuwa EP Hiyo Itafahamika kama FROM ZERO TO HERO Itaachiwa Rasmi Tarehe 23 Mwezi huu wa Pili huku Ikiwa na Track zenye Ujazo wa Kutosha kama Utumbo,UTI Nk.

Kwa Habari za Muziki na Mastaa Mbali Mbali Usiache Kutufuatilia Kupitia Akaunti zetu za Mitandao ya Kijamii Fb na Insta @Ikmziki.

Also, check more tracks from Mchina Mweusi;