Get New DJ Mixes
E NEWS SINGELI

SHASCO BRAND NA MUNTA DEE BALAA JINGINE MJINI

Supastaa wa Muziki wa Singeli, Shasco Brand, yupo jikoni akiandaa ngoma mpya kali! Anatarajia kuachia wimbo huo wa kusisimua akiwa amemshirikisha Munta Dee. Wimbo unatarajiwa kuitwa “Bila Kuchoka“. Mashabiki wa Singeli, muwe tayari kwa burudani non-stop kutoka kwa Shasco Brand na Munta Dee.

RELATED : AUDIO Shasco Brand – Kigodoro Mp3 DOWNLOAD

Kupata taarifa zaidi kuhusu maandalizi ya wimbo huu na updates nyingine kuhusu muziki wa Singeli, hakikisha unatufuatilia kwenye akaunti zetu @Ikmziki. Tutakuwa na habari za mara kwa mara kuhusu ujio wa “Bila Kuchoka” na mambo mengine moto moto kwenye ulimwengu wa Singeli. Jiunge nasi kwenye safari hii ya muziki!

 

Also, check more tracks from Shasco Brand;