Get New DJ Mixes
AUDIO E NEWS

LEO KAZALIWA MSANII OMMY LAZO

Leo ni siku maalum! Tarehe 5 mwezi 1, tunajiunga pamoja na Team ya IK MZIKI kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwa msanii wetu wa Singeli kutoka Tanzania, Ommy Lazo! Tunamwombea afya njema, furaha tele, na mafanikio mengi zaidi katika safari yake ya muziki.

RELATED : EP | Ommy Lazo – Mwambie

Ili kubaki karibu na yote yanayotokea kwenye ulimwengu wa muziki na matukio ya wasanii, usisahau kutufollow kupitia akaunti zetu za Facebook na Instagram @IKMZIKI. Tutakuwa tukikuletea updates za mara kwa mara, mahojiano na wasanii, na matukio mbalimbali yaliyomo kwenye ulimwengu wa burudani.

Kwa sasa, tufurahie pamoja siku hii ya kipekee kwa Ommy Lazo na kumbukumbu za muziki wa Singeli. Happy birthday, Ommy Lazo

OMMY LAZO – MWAMBIE EP | DOWNLOAD ALL SONG

  1. AUDIO | Ommy Lazo – Mwambie | Download 
  2. AUDIO | Ommy Lazo – Rafiki Yuda | Download 
  3. AUDIO | Ommy Lazo Ft. Adecha – Mapenzi Yetu | Download