Get New DJ Mixes
E NEWS AUDIO

DABO FLEVA NA MUNTA DEE NDANI YA TRACK MOJA

Dabo Fleva Msanii wa Singeli , yupo mbioni kuachia ngoma mpya kali . Jumamosi hii, Ambayo anatarajia kushirikiana na msanii anayekuja kwa kasi, Munta Dee, katika track yao inayojulikana kama ‘NACHEZEA KAMALI.’

RELATED : AUDIO Dabo Flevar Ft. Jabulanizi – Najiua MP3 DOWNLOAD

Wimbo huu unatarajiwa kuwa na kishindo kikubwa, ukileta pamoja sauti za kipekee za Dabo Fleva na uwezo wa kuchanua kwa kasi wa Munta Dee. Ni burudani ya hali ya juu inayokusubiri Jumamosi hii!

Usikose kujiunga nasi katika safari hii ya muziki wa kuvutia! Kama shabiki wa Dabo Fleva, Munta Dee, na muziki wa Singeli kwa ujumla, hakikisha umewashirikisha marafiki zako habari hii njema. Jumamosi hii itakuwa moto!

Kwa Taarifa za Wasanii na Matukio Mbali Mbali Usiache Kutufollow Kupitia Akaunti zetu za Fb na Insta @IKMZIKI

Also, check more tracks from Dabo Flevar  ;