Get New DJ Mixes
E NEWS AUDIO

KIDENE AACHIA TRACK MBILI NA JEUSI

Staa wa Muziki wa Singeli Nchini Tanzanaia Maarufu Kama Kidene Fighter au Ukipenda Mwite Sanii la Chama Zee la Maokoto Tayari Ameachia Track zake Mbili MAGETONI na MAISHA YA USELA Alizoshirikisha Msanii wa Mwenzake wa Singeli Jeusi MC Mzee wa 32 Chama.

Track Hizo ambazo Zina Ubunifu Mkubwa Ambazo Zilitiwa Miko na DJ Dusco Babilon,Zipo Hewani Rasmi Unaweza Kuzipata kwa Kupakua Kupitia Tovuti Yetu ya IK MZIKI,Pia Usiache Kutufuatilia Kupitia Mitandao ya Kijamii @IKMZIKI.

DOWNLOAD TRACK HIZO HAPA CHINI

  1. AUDIO Kidene Fighter Ft. Jeusi Mc – Maisha Yetu Usela MP3 DOWNLOAD  
  2. AUDIO Kidene Fighter Ft. Jeusi Mc – Magetoni Mp3 DOWNLOAD