Get New DJ Mixes
E NEWS AUDIO

BEKA JOOH KUFUNGA MWAKA NA KISHINDO (HAMJASEMA)

HAMJASEMA !!! Beka Jooh Msanii Pendwa wa Singeli kutoka Nchini TanzaniaYupo Mbioni Kushusha Hit Song Kali Inayoenda Kama Hamjasema,Ambayo Itakuwa ni Funga Mwaka kwakwe na Wapenzi wa Muziki wa SIngeli Kiujumla.

RELATED : AUDIO | Beka Jooh Ft. Kenge Mc – Kuna Ubaya | Download

Wimbo huu wa HAMJASEMA Ambao Taarifa zinasema Umefanywa Chini ya Producer SIDE MTU ATARI unatarajiwa kuleta msisimko Mkubwa na kubaki kumbukumbu kubwa katika tasnia ya muziki, ukimaliza kwa nguvu mwaka huu wa 2023,Hii Kazi ni Balaa Zito Kaa Tayari.

Kwa Taarifa Mbali Mbali Kuusu Muziki na Mastaa wake Usiache Kutufuatilia Kupitia Page Zetu @IKMZIKI.

Also, check more tracks from Beka Jooh;