MUSIC E NEWS

KAA TAYARI !!! KIGODORO YA SHASCO NI BALAA

KAA TAYARI !!! Msanii Shasco Brand hivi Karibuni Anatarajia Kushusha Hit Song ya Kibabe Inayoitwa “KIGODORO” Aliyofanya Chini ya Producer DJ Mushizo,Ngoma Ambayo Inakuja Kushtua.

RELATED : AUDIO Shasco Brand Ft. Kapaso BKP – Hello Mp3 DOWNLOAD

Shasco Brand amewahi kufanya vizuri na nyimbo kama “Hello” na “Fundi” aliyomshirikisha Dogo Elisha. Hivyo basi, ujio wa “Kigodoro” unatarajiwa kuwa hatua nyingine kubwa katika safari yake ya muziki.Ni ngoma inayofuata inayokuja na kusababisha msisimko mkubwa na mshindo wa kipekee!

RELATED : AUDIO | Shasco Ft. Dogo Elisha – Fundi | Download

Kupata taarifa zote za kusisimua kuhusu ujio wa “Kigodoro” na kazi nyinginezo za Shasco Brand, hakikisha unatufuatilia kwenye tovuti yetu IKMZIKI na mitandao yetu ya kijamii, Facebook na Instagram @IKMZIKI.

Also, check more tracks from Shasco Brand;