Get New DJ Mixes
AUDIO Blog

BUDA ZONI BABAY MPYA VIDEO INAKUJ

 

Timu yetu ya habari ya IK MZIKI imefanya mahojiano na Meneja wa Msanii Buda Zoni, maarufu kama Luca Show, na tumepata taarifa muhimu. Tunafurahi kutangaza kuwa wapo katika mchakato wa Kushuti video ya wimbo mpya wa “Baby Mpya” ambao umehit sana mtaani na kupendwa na mashabiki wengi wa muziki wa Singeli. Wimbo huu wa “Baby” ni sehemu ya Ep ya “Chuma Tatu” ambayo imejaa nyimbo kali za msanii Buda Zoni.

RELATED : AUDIO | Buda Zoni – Baby Mpya | Download Mp3

Kwa hiyo, kama shabiki wa Buda Zoni na muziki wa Singeli, jiandae kwa ujio wa video mpya ya “Baby” ya Buda Zoni. Tutaendelea kukuletea taarifa za wasanii mastaa wa muziki wa Singeli kupitia tovuti yetu ya IK MZIKI na kurasa zetu za kijamii kama Instagram na Facebook chini ya jina la IK MZIKI. Hakikisha unatufuatilia ili usipitwe na matukio na habari za kusisimua katika ulimwengu wa muziki wa Singeli.

EP | Buda Zoni – Chuma 3