Blog

WAZIRI AOMBA DKT. TULIA ACKSON APIGIWE KURA

 

Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Dkt. Stergomena Tax ameziomba nchi wanachama wa Bunge la Dunia (IPU) kuiunga mkono Tanzania kwa kumpigia kura Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ambaye anagombea urais wa bunge hilo mwaka huu.