Get New DJ Mixes
Blog SINGELI

Show Live Mimah Mbagala Zakhem | Huyu ni Malkia wa Singeli

 

Mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora Kike wa Singeli Nchini Tanzania,Mimah alifanya show Wikiendi hii,katika Viwanja vya Mbagala jijini Dar es Salaam katika kuazimisha miaka 9 ya kituo cha redio cha E FM. Show hiyo ilikuwa ya kipekee sana na iliwakutanisha mashabiki wengi wa muziki wa Singeli kutoka sehemu mbalimbali za jiji.

RELATED : MKATABA MC SHOW LIVE MBAGALA | TWENDE BEACH YAWARUSHA MASHABIKI

Mimah ni miongoni mwa wasanii wa Singeli wanaochipukia kwa kasi sana nchini Tanzania. Alifanya show ya kuvutia sana katika Viwanja vya Mbagala, ambapo alishirikiana na wasanii wengine wa Singeli kutoa burudani safi kabisa kwa mashabiki wake.

RELATED : AUDIO | Mimah – Mbwi (Wameachana) | Download

Kwa wale ambao hawakuweza kuhudhuria show hiyo, tunayo habari njema kwenu! Unaweza kuiona show hiyo kwa kubonyeza kitufe cha kucheza video hapa chini. Hivyo, usikose kuiona show hiyo ya kipekee ya Msanii wa Singeli Mimah katika Viwanja vya Mbagala jijini Dar es Salaam.

Also Check More E NEWS : 

Also, check more tracks from Mimah ;